Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima jana Septemba 6, 2023 jijini Dodoma akizungumza wakati akimkaribisha Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Doto Biteko kufungua kikao kazi cha Maafisa Ustawi wa Jamii wa Serikali na sekta binafsi
Read More