Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akizungumza katika mdahalo ulioshirikisha Mawaziri wa Jinsia kutoka nchi za wanachama wa Umoja wa Afrika wa Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa kutokomeza Ukeketaji Oktoba 10, 2023 jijini Dar es Salaam.
Read More