[caption id="attachment_40411" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Korogwe Bi. Annisia Mauka, akisoma taarifa ya utekerezaji wa maboresho ya Shule hiyo yaliyogharimu takribani Sh. bilioni 1.374, wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), Wilayani Korogwe MkoaniI Tanga.[/caption]
Na Peter Haule, WFM, Korogwe
Serikali imewataka watendaji katika maeneo yote ambayo fedha zimetolewa zikiwemo sh. bilioni 18 za kuboresha shule kongwe nchini, kusimamia matumizi...
Read More