Na; Mwandishi Wetu
Mradi wa GIRLS Inspire ulianzishwa kama sehemu ya kutekeleza mikakati ya kitaifa ya kuimarisha uwezo wa kuandaa na kutekeleza mipango ya kupiga vita ndoa za utotoni na kuwawezesha wanawake na wasichana walioathirika na ndoa za hizo kujikwamua kimaisha. Mradi huu unafadhiliwa serikali za Australia na Canada na kuratibiwa na kitengo cha elimu cha Jumuia ya Madola (Commonwealth of Learning COL).
Mradi unatekelezwa katika nchi tano ambazo ni Tanzania, Msumbiji, Pakistan, India na Bangladesh. Nchini Tanzania mradi huu umetekel...
Read More