[caption id="attachment_42350" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Kilimo Omary Mgumba akijibu swali wakati wa kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni leo.[/caption]
Na: Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma
Serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuhakikisha pembejeo za kilimo (mbegu, mbolea, viuatilifu na zana za kilimo) zinapatikana kwa wakati na kwa bei nafuu.
Hatua hizo ni pamoja na uagizaji wa pamoja, ruzuku, kufuta au kupunguza tozo na kodi zinazochangia kuongezeka kwa bei ya pembejeo na kufanya tafiti katika mnyo...
Read More