[caption id="attachment_44008" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi,hayuko pichani baada ya kumaliza mazunguymzo na Ujumbe wa Taasisi ya Al -Hikma Foundation ya Jijini Dar es Saalam ukiongonzwa na Mkurugenzi Mkuu Sheikh.Nurdin Muhammed Ahmed Kishki kulia Sheikh Suleiman Khamis Babib na Mussa Rajab Mushi, wakiwa katika ukumbi wa Ikulu.[/caption]
[caption id="attachment_44009" align="aligncenter"...
Read More