[caption id="attachment_46245" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama, akizungumza na vijana wa Mkoa wa Geita alipokuwa akizindua Programu ya Mafunzo ya Ujasiriamali na Usimamizi wa Biashara kwa vijana inayoratibiwa na kusimamiwa na ofisi yake.[/caption]
Na; Mwandishi Wetu
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu imedhamiria kuwawezesha vijana kupitia programu ya mafunzo ya Ujasiriamali na Usimamaizi wa Biashara kwa lengo la ku...
Read More