[caption id="attachment_47074" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na mgeni wake Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro, Mhe. Azali Assoumani wakati alipomtembelea leo Ikulu mjini Zanzibar.[/caption]
[caption id="attachment_47075" align="aligncenter" width="750"]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro, Mhe. Azali Assoumani wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kusalimiana.[/caption]