Kaimu Mkurugenzi wa Uvuvi (WMUV), Ezra Mutagwaba (kushoto) akiongea katika Mkutano wa Wadau kuhusu Mjadala wa Viwango vya Mazao ya Dagaa na Mwani uliofanyika jijini Dar es Salaam leo Agosti 24, 2020. Katikati ni Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Dkt. Rashid Tamatamah na Kulia ni Mratibu wa Mradi wa SWIOFish, Daniel Nkondola.
Na Mbaraka Kambona,
Serikali imesema ipo katika mchakato wa kutengeneza viwango vya kitaifa vya ubora na usalama wa mazao ya Mwani na Dagaa ili kuyapa mazao hayo fursa pana ya masoko ya uhakika ndani n...
Read More