Dkt. Abbasi: SGR ni mradi unaokwenda kuleta maendeleo ya watu nchiniNa Eleuteri Mangi, MorogoroUjenzi wa Reli ya ya Kisasa (SGR) nchini unalenga kuleta maendeleo ya watu kwa kurahisisha muda wa usafiri wa abiria na usafirishaji wa mizigo ambapo kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro itakuwa ni saa tatu au dakika 90 hatua itakayopunguza muda mwingi unaopotea barabarani na kuwafanya wananchi kuwahi kufanyakazi nyingine za maendeleo.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi amesem...
Read More