Waziri wa Kilimo, Mhe Prof. Adolf Mkenda (Katikati) akisisitiza jambo wakati wa mkutano na wazalishaji wakubwa wa sukari nchini uliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Kilimo Maarufu “Kilimo IV” Jijini Dodoma,tarehe 16 Agosti 2021. Wengine pichani ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Andrew Massawe (Kulia) na Mwenyekiti wa Wazalishaji wakubwa wa sukari Tanzania Ndg Seif Ally Seif (Kushoto)
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma
Serikali itasimamia sheria na taratibu iliyojiwekea kwenye usimamizi wa mazao mbalimbali ikiwemo miwa, hivyo h...
Read More