Na. Immaculate Makilika
Februari 2015, Rais wa Jamhuri ya Kenya Uhuru Kenyatta alimkabidhi Rais mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete nafasi ya Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika mkutano wa 16 wa Wakuu wa Jumuiya hiyo Jijini Nairobi Kenya.
Kutokana na hali ya mgogoro wa kisiasa katika nchi ya Burundi, ambayo ilipaswa kukabidhiwa nafasi ya Uenyekiti wa Jumuiya mwaka 2016, Wakuu wa Jumuiya hiyo waliamua kwa kauli moja kuwa Tanzania kupitia Rais Dkt. Rais John Pombe Magufuli kuendelea na nafasi hiyo.
Katika Mkutano wa 1...
Read More