[caption id="attachment_6118" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani (Kulia) akipokea maelezo ya kifaa maalumu cha kugundua sehemu ambayo mkongo wa Taifa una tatizo kutoka kwa Bw. Juma Ngimba (Kulia), wakati alipokagua eneo ambalo Mkongo wa Taifa umeharibika kwa kuliwa na panya Wilayani Nkasi Mkoani Rukwa.[/caption]
[caption id="" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani (Katikati) akiangalia ramani ya Mkongo wa Taifa w...
Read More