[caption id="attachment_34687" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, Bibi. Rachel Chuwa akizungumza katika kikao baina yake na viongozi wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano Seriikalini (TAGCO) na Idara ya Habari –MAELEZO wakati wa ziara ya kutembelea Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri za Kanda ya Kati jana Mkoani Dodoma. Kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa TAGCO, Bi. Sarah Kibonde Msika,Mjumbe wa Kamati Tendaji wa TAGCO, Inocent Byarugaba, Afisa Habari wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, Benton...
Read More