[caption id="attachment_9378" align="aligncenter" width="340"] Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Khamis Kigwangalla. (Picha kutoka Maktaba)[/caption]
Na: Prisca Libaga, Maelezo -Arusha
Serikali Imeziagiza halmashauri zote nchini ambazo hazijakamilisha mpango wa taifa wa kutoa huduma ya vipimo kwenye Zahanati na Vituo vya Afya kuhakikisha vinakamilisha huduma hiyo ndani ya miezi mitatu kuanzia leo.
Agizo hilo limetolewa Leo na Naibu waziri wa afya, Dkt. Hamis Kigwangalla, katika ziara ya siku tano, kutem...
Read More