[caption id="attachment_52280" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiwasilisha bajeti ya Wizara hiyo Bungeni jijini Dodoma ambapo kiasi cha sh. bilioni 40.1 kimepitishwa kwa mwaka wa fedha 2020/2021.[/caption]
Na Eleuteri Mangi-WHUSM, Dodoma
Bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2020/2021 imeongezeka hadi kufikia kiasi cha sh. Bilioni 40.1 kutoka sh. bilioni 30.9 kwa mwaka wa fedha uliopita ili kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi.
Akiwas...
Read More