Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akizungumza na viongozi wa Kijiji cha Busomeke katika Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, alipofanya ziara ya kukagua shughuli za usambazaji umeme vjijini, Aprili 27, 2020.
Na Zuena Msuya, Tabora
Wizara ya Nishati imetoa rai kwa wakazi wa Mkoa wa Tabora kuongeza kasi ya matumizi ya umeme unaopatikana mkoani humo kwani matumizi yao yapo chini zaidi kulinganisha na umeme unaozalishwa mkoani humo.
Dkt. Kalemani ametoa rai hiyo Aprili 27, 2020 hiyo wakati akikagua shughuli za usambazaji wa umeme vijijini k...
Read More