[caption id="attachment_51955" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisoma Hotuba ya Mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali, pamoja na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2020/2021, Aprili 1, 2020.[/caption]
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesisitiza kuwa mtu yeyote atakayethibitika kuwa na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona (COVID-19) apelekwe eneo maalum bila kujali cheo chake na atalala palipoandaliwa.
Amewataka Watanzania wazi...
Read More