Mhandisi Msimamizi wa Miradi ya Umeme REA Kanda ya Kusini, Mhandisi Deogratius Nagu (aliyesimama) akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi ya usambazaji umeme mkoani Mtwara kwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Sawala (kushoto) wakati wa hafla ya kumtambulisha Mkandarasi anayetekeleza mradi wa kusambaza umeme vitongojini mkoani humo. Wa pili kushoto ni Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bahati Geuzye akifuatiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Masasi, Hashim Namtumba.
Read More