[caption id="attachment_47413" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani akizungumza katika kikao chake na Wafanyakazi, Menejimenti na Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Wengine katika picha Kaimu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati, Raphael Nombo (kulia kwa Waziri), Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Leonard Masanja (wa kwanza kushoto), Mjumbe wa Bodi ya REA, Dailin Mgweno na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Amos Maganga.[/caption]
Na Teresia Mhagama, Dodoma
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kal...
Read More