[caption id="attachment_47423" align="aligncenter" width="750"]
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara, Alphayo Kidata wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mtwara ambako alikuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliyofanyika Kitaifa kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona. Oktoba 1, 2019[/caption]
[caption id="attachment_47424" align="aligncenter" width="750"]
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa wakipokea maandamano ya Wazee katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliyofanyika Kitaifa kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara, Oktoba 1, 2019.[/caption]
[caption id="attachment_47427" align="aligncenter" width="750"]
Wazee wakiandamana katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona Mjini Mtwara, Oktoba 1, 2019. Mgeni Rasmi alikuwa ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa .[/caption]
[caption id="attachment_47428" align="aligncenter" width="750"]
Mmoja wa wazee waloishirki katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia katika Maadhimisho hayo, Oktoba 1, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]