[caption id="attachment_47506" align="aligncenter" width="750"] Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kikodi wa Kinodoni Bw. Massawe Masatu, akitoa taarifa fupi ya utekelezaji wa kazi za Mamlaka hiyo katika mkoa wake kwa Mhe. Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji alipotembelea ofisi hiyo, Jijini Dar es Salaam.[/caption]
Na Ramadhani Kissimba, WFM, Dar es Salaam
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Kuandaa Mkakati mahsusi utakaosaidia kuongeza wigo wa wali...
Read More