Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wadau wa michezo nchini kupitia simu ya mkononi kwenye Harambee ya kuchangia timu za taifa zinazoshiriki michuano ya kimataifa, iliyofanyika katika ukumbi wa Johari Rotana, jijini Dar es Salaam, Januari 10.2024, ambapo kiasi cha shiLingi bilioni 3.7 zilipatikana.
Read More