Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Atunukiwa Nishani ya Mapinduzi ya Viongozi wenye Sifa za Kipekee
Jan 11, 2024
Rais Samia Atunukiwa Nishani ya Mapinduzi ya Viongozi wenye Sifa za Kipekee
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivalishwa Nishani ya Mapinduzi ya Viongozi wenye sifa za Kipekee (Order of Praise) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Zanzibar tarehe 11 Januari, 2024. Rais Samia ametunukiwa Nishani hiyo katika kuadhimisha miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964.
Na Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipongezwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi mara baada ya kutunukiwa Nishani ya Mapinduzi ya Viongozi wenye sifa za Kipekee (Order of Praise) katika kuadhimisha miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Zanzibar tarehe 11 Januari, 2024.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi