[caption id="attachment_40751" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha Maombolezo, Victoria Jijini Dar es salaam nyumbani kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangalla, kufuatia kifo cha Mtoto wake aitwaye Zul Hamis Kigwangalla Kilichotokea Februari 21,2019 katika Hospitali ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (Muhimbili) Jijini Dar es Salaam.[/caption]
[caption id="attachment_40752" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Mu...
Read More