[caption id="attachment_47236" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu noti bandia na noti halali kutoka kwa Angela Kashanga (kulia) wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) wakati alipotembelea banda la BOT katika Maonyesho ya Tekinolojia ya Dhahabu yaliyofunguliwa na Waziri Mkuu, kwenye uwanja wa CCM Kahangalala mjini Geita, Septemba 22, 2019. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel na katikati ni Mkurugenzi wa BOT tawi la Mwanza, Florence Kazimoto. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/capt...
Read More