[caption id="attachment_47164" align="aligncenter" width="902"]
Watumishi wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo wakiwa katika maadhimisho ya Tamasha la Utamaduni na Sanaa (JAMAFEST) leo Septemba 21 Jijini Dodoma.[/caption]
[caption id="attachment_47167" align="aligncenter" width="949"]
Baadhi ya Vikundi vya ngoma vya Jijini Dodoma vikitumbuiza katika maadhimsho ya Tamasha la Utamaduni na Sanaa (JAMAFEST) leo Septemba 21 Jijini Dodoma.[/caption]
[caption id="attachment_47168" align="aligncenter" width="866"]
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Utamaduni Bibi Hadija Kisubi akizungumza katika maadhimsho ya Tamasha la Utamaduni na Sanaa (JAMAFEST) leo Septemba 21 Jijini Dodoma.[/caption]