Mwandishi wa Habari wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Jane John akipata chanjo ya UVIKO 19 leo
Na John Mapepele, WHUSM
Wanahabari, Wanamichezo na Wasanii wameendelea kumiminika leo, Agosti 12, 2021 katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya zoezi la hiari la kupata chanjo ya UVIKO 19.
Zoezi hili limeratibiwa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kushirikiana na Wizara ya Afya.
Awali, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, alifafanua kwamba makundi...
Read More