Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Mhandisi Upendo Mbelle wakati akimpa maelezo kuhusu maeneo ya vituo vipya vya kurushia matangazo ya Radio TBC Taifa na TBC fm kwenye maeneo ya Ngara (Karega), Mlimba (Morogoro) Ludewa (Njombe) na Ruangwa (Lindi), Aprili 14, 2022 Ruangwa mkoani Lindi. Wa pili ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye wakiwashuh...
Read More