Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi (kulia) akishuhudia utiaji saini Mikataba ya Utendaji Kazi kwa Mwaka 2022/23 wakati wa kikao kazi cha menejimenti ya ofisi hiyo kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), Jijini Arusha. Kulia ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Prof. Jamal Katundu na Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria katika ofisi hiyo, Bw. Edison Makalo.
Na: Mwandishi Wetu - ARUSHA
Naibu Waziri...
Read More