Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Mussa Iyombe akizungumza na Watumishi wa Halmashauri za Mji na Wilaya ya Korogwe wakati wa ziara aliyoifanya wilayani Korogwe kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi wa Umma katika kuwatumikia wananchi. Kulia kwake ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Bi. Zena Said na kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Robert Gabriel Ruhumbi.
Na. Mwandishi Wetu
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhandisi Mussa Iyombe, amewataka watumishi wa Hal...
Read More