Waziri Mkuu Azipa Maagizo Wizara Uendelezaji Kijiji cha Msomera Handeni
Apr 24, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa madarasa ya Shule ya Msingi katika kijiji cha Msomera wilayani Handeni Mkoa wa Tanga kwa ajili ya wananchi walioridhia kuhama katika Hifadhi ya Ngorongoro kwenda kuishi katika kijiji hicho, Aprili 24, 2022. Kulia kwake ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga na na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella.