Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Qatar nchini Fahad Rashid Al Muraikhi katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam Machi 8, 2024.
Na
Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwaakizungumza na Balozi wa Qatar nchini Fahad Rashid Al Muraikhi, katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaamMachi 8.2024.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwaakipokea salamu za pole ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Ali Hassan Mwinyi kutoka Serikali ya Qatar zilizotolewa na Balozi wa Qatar nchini, Fahad Rashid Al Muraikhi katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaamMachi 8.2024.