Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Kigwangalla Asisitiza Uzalendo Kamati ya Utambulisho wa Utalii Tanzania
Jan 11, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_26796" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Khamis Kigwangalla akifuatilia mkutano wa uzinduzi wa Kamati ya Kitaifa ya Utambulisho wa Utalii wa Tanzania leo hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii Jijini Dar es Salaam leo. Tarehe 11/01/2018, Kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Aloyce Nzuki, Mwenyekiti wa Kamati hiyo Bibi. Devotha Mdachi na Mwenyekiti Mwenza wa kamati hiyo Richard Rugimbana.[/caption] [caption id="attachment_26797" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Khamis Kigwangalla akisistiza jambo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kamati ya Kitaifa ya Utambulisho wa Utalii wa Tanzania leo hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii Jijini Dar es Salaam leo. Kamati hiyo yenye wajumbe 22 imeundwa na Mhe. Waziri kwa lengo la kupitia na kubuni mkakati mbadala wa namna ya kutangaza utalii wa Tanzania ndani na nje ya nchi.[/caption] [caption id="attachment_26798" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Khamis Kigwangalla akisistiza jambo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kamati ya Kitaifa ya Utambulisho wa Utalii wa Tanzania leo hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii Jijini Dar es Salaam leo. Kamati hiyo yenye wajumbe 22 imeundwa na Mhe. Waziri kwa lengo la kupitia na kubuni mkakati mbadala wa namna ya kutangaza utalii wa Tanzania ndani na nje ya nchi.[/caption] [caption id="attachment_26800" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Utambulisho wa Utalii wa Tanzania Bibi. Devotha Mdachi akielezea jambo mbele ya wajumbe wa kamati hiyo (hawapo pichani) mara baada ya kuzinduliwa rasmi kwa Kamati hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti Mwenza wa Kamati hiyo Richard Rugimbana. Kamati hiyo yenye wajumbe 21imeundwa na Mhe. Waziri kwa lengo la kupitia na kubuni mkakati mbadala wa namna ya kutangaza utalii wa Tanzania ndani na nje ya nchi.[/caption]

[caption id="attachment_26802" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Utambulisho wa Utalii wa Tanzania wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Khamis Kigwangalla wakati wa hafla ya uzinduzi wa kamati hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Kamati hiyo yenye wajumbe 21 imeundwa na Mhe. Waziri kwa lengo la kupitia na kubuni mkakati mbadala wa namna ya kutangaza utalii wa Tanzania ndani na nje ya nchi.[/caption] [caption id="attachment_26806" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Khamis Kigwangalla akisalimiana na Mkurugenzi wa Utalii na Masoko wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) Ibrahim Mussa walipokutana katika hafla ya uzinduzi wa Kamati ya Kitaifa ya Utambulisho wa Utalii wa Tanzania leo Jijini Dar es Salaam. Kamati hiyo yenye wajumbe 21 imeundwa na Mhe. Waziri kwa lengo la kupitia na kubuni mkakati mbadala wa namna ya kutangaza utalii wa Tanzania ndani na nje ya nchi.[/caption] [caption id="attachment_26805" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Khamis Kigwangalla (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Utambulisho wa Utalii wa Tanzania lmara baada ya uzinduzi wa kamati hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Kamati hiyo yenye wajumbe 21 imeundwa na Mhe. Waziri kwa lengo la kupitia na kubuni mkakati mbadala wa namna ya kutangaza utalii wa Tanzania ndani na nje ya nchi. (Picha na Frank Shija)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi