Uchaguzi Mbarali na Kata Sita Waendelea kwa Amani na Utulivu
Sep 19, 2023
Mpiga Kura mwenye mahitaji maalum akisaidiwa kuingia katika kituo cha kupigia kura ili aweze kutimiza haki yake ya kumchagua Kiongozi anayemtaka katika kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya Kata Na.2, katika Kata ya Mfaranyaki Halmashauri ya Manispaa ya Songea, leo tarehe 19/09/2023.
Na
Mwandishi Wetu
Wapige Kura wakiendelea kujitokeza kwenye vituo vya kupiga kura katika maeneo mbalimbali kwa ajili ya Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Mbarali na Udiwani katika kata sita za Tanzania bara ambao unafanyika Leo Jumanne, Septemba 19, 2023.