Rais Samia Suluhu Hassan Ashiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini
Feb 01, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.
Na
Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.
Baadhi ya Majaji wa Mahakama ya Rufani wakiwa kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.