Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Apokea Hati za Utambulisho za Mabalozi Wawili
Mar 11, 2024
Rais Samia Apokea Hati za Utambulisho za Mabalozi Wawili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama kwa ajili ya kupokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Libya hapa nchini, Mhe. Abdulmajed Albahlul Alshatewi kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Machi, 2024.
Na Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Libya hapa nchini, Mhe. Abdulmajed Albahlul Alshatewi mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho, Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 11 Machi, 2024. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Libya hapa nchini, Mhe. Abdulmajed Albahlul Alshatewi mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho, Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 11 Machi, 2024. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama kwa ajili ya kupokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Burundi hapa nchini, Mhe. Leontine Nzeyimana kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 11 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Burundi hapa nchini Mhe. Leontine Nzeyimana mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 11 Machi, 2024.

 

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi