Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na Mabalozi nchini, Balozi Mteule wa Umoja wa Mataifa Ulaya, Balozi Mteule wa Rwanda, Balozi wa Saudia Arabi, Balozi wa Qatar pamoja na Balozi wa Norway Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023.
Na
Ikulu