Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Viongozi mbalimbali kando ya Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa Nchini Kenya
Sep 06, 2023
Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Viongozi mbalimbali kando ya Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa Nchini Kenya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa (UN), Mhe. Ban Ki-Moon mara baada ya mazungumzo kando ya Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi nchini Kenya.
Na Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Nyusi kando ya Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi nchini Kenya.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB), Akinwumi Adesina kando ya Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi nchini Kenya.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB), Bw. Thomas Östros kando ya Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi nchini Kenya. 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji Mwandamizi wa Benki ya Dunia, Bw. Axel van Trotsenburg kando ya Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi nchini Kenya. 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Korea Kusini, Mhe. Jang Sung Min pamoja na ujumbe wake alioambatana nao kando ya Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi nchini Kenya.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mikutano mbalimbali kando ya mkutano Mkuu wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Maalum wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi