Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Akutana na Kufanya Mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya EITI
Apr 05, 2024
Rais Samia Akutana na Kufanya Mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya EITI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Extractive Industries Transparency Initiative (EITI), Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zealand,, Mhe. Helen Clark, Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
Na Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Extractive Industries Transparency Initiative (EITI), Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zealand, Mhe. Helen Clark aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Extractive Industries Transparency Initiative (EITI), Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zealand, Mhe. Helen Clark, Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi