Rais Samia Ahudhuria Khitma ya Mzee Ali Hassan Mwinyi
Mar 03, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisoma Juzuu wakati wa khitma ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili, Hayati Ali Hassan Mwinyi aliyefariki tarehe 29 Februari, 2024. Khitma hiyo imeandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na kufanyika kwenye viwanja vya maonyesho Nyamazi Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.
Na
Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na wajane, ndugu na jamaa wakati wa khitma ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili, Hayati Ali Hassan Mwinyi aliyefariki tarehe 29 Februari, 2024. Khitma hiyo imeandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na kufanyika kwenye viwanja vya maonyesho Nyamazi Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa khitma ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili, Hayati Ali Hassan Mwinyi aliyefariki tarehe 29 Februari, 2024. Khitma hiyo imeandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na kufanyika kwenye viwanja vya maonyesho Nyamazi Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.
Baadhi ya viongozi na wananchi wakiwa kwenye khitma ya ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili, Hayati Ali Hassan Mwinyi aliyefariki tarehe 29 Februari, 2024, khitma hiyo imefanyika katika viwanja vya maonyesho Nyamazi Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.