Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Ahani Msiba wa Baba wa Waziri Masauni
Mar 03, 2024
Rais Samia Ahani Msiba wa Baba wa Waziri Masauni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na familia ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Hamad Masauni alipokwenda kuhani kufuatia kifo cha Baba yake Mzee Masauni Yussuf Masauni aliyefariki dunia tarehe 23 Februari, 2024. Rais Samia amekutana na familia hiyo nyumbani kwao Migombani, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.
Na Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki dua na familia ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Hamad Masauni alipokwenda kuhani kufuatia kifo cha Baba yake Mzee Masauni Yussuf Masauni aliyefariki dunia tarehe 23 Februari, 2024. Rais Samia amekutana na familia hiyo nyumbani kwao Migombani, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Hamad Masauni alipokuwa akitoa shukrani kwa Mhe. Rais kwa kuwatembelea na kuwafariji  kufuatia kifo cha Baba yake Mzee Masauni Yussuf Masauni aliyefariki dunia tarehe 23 Februari, 2024. Rais Samia amekutana na familia hiyo nyumbani kwao Migombani, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.
Baadhi ya ndugu na Jamaa wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Hamad Masauni waliojumuika wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokwenda kuhani kufuatia kifo cha Baba yake Mzee Masauni Yussuf Masauni aliyefariki dunia tarehe 23 Februari, 2024. Rais Samia amekutana na familia hiyo nyumbani kwao Migombani, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.

 

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi