Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob John Mkunda, mazungumzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 13-1-2024.
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa