Rais Dkt. Mwinyi Akutana na Kuzungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Iyilik Dernegi Kutoka Nchini Uturuki
Sep 03, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kaimu Mwenyekiti wa Taasisi ya Iyilik Dernegi kutoka Nchini Uturuki, Bw. Metin Calbay alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 3-9-2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Viongozi wa Taasisi ya Iyilik Dernegi kutoka nchini Uturuki, ukiongozwa na Kaimu Mwenyekiti wa Taasisi hiyo, Bw. Metin Calbay. (kulia kwa Rais), mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 3-9-2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Taasisi ya Iyilik Dernegi kutoka nchini Uturuki ukiongozwa na Kaimu Mwenyekiti wa Taasisi hiyo, Bw. Metin Calbay (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 3-9-2022.