Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio katika Picha Bungeni
Nov 01, 2023
Matukio katika Picha Bungeni
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Same Magharibi, David Mathayo David (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum, Zainab Katimba, bungeni jijini Dodoma, Novemba 1, 2023.
Na Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde, bungeni jijini Dodoma, Novemba 1, 2023.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga akijibu maswali, bungeni jijini Dodoma, Niovemba 1, 2023.

 

 

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi akijibu maswali, bungeni jijini Dodoma, Novemba 1, 2023.

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi