Makamu wa Rais Ashiriki Maziko ya Hayati Ali Hassan Mwinyi
Mar 02, 2024
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango ameshiriki maziko ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Ali Hassan Mwinyi yaliyofanyika katika Kijiji cha Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar. Tarehe 02 Machi, 2024.
Na
Ofisi ya Makamu wa Rais