Majaliwa Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Miaka 20 Kilimanjaro Marathon
Feb 27, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipiga king'ora kuanzisha Mbio za Kilomita 42 katika maadhimisho ya miaka 20 ya Kilimanjaro Marathon kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi, Februari 27, 2022. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Jose D Moran ambao ndiyo wadhimini wakuu wa maadhimisho hayo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriiki katika mbio za Kilimanjaro Marathon baada ya kuzianzisha kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi, Februari 27, 2022.