Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Atoa Zawadi Mashindano ya Kusoma Qur-an Tukufu
Jun 11, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_3268" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakr Zubeir bin Ally (kulia) na Sheikh Sharif Abduqadir Mohamed Ahmed Al Ahdar ambaye ni Rais wa Taasisi ya Al - Hikima Foundation na Mlezi Mwenza wa Taasisi hiyo , katika Mashindano ya 18 ya Afrika ya Kuhifadhi Qur-an Tukufu yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_3269" align="aligncenter" width="750"] Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili na Mlezi wa Taasisi ya Al- Hikima Foundation, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akizungumza katika kilele cha Mashindano ya 18 ya Kuhifadhi Qur-an Tukufu yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_3264" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kasssim Majaliwa akizungumza katika kilele cha Mashindano ya 11 ya Afrika ya Kuhifadhi Qur-an Tukufu yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_3265" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi , Mohammed Abdullah Aden (12) wa Somalia hundi ya shilingi milioni 15, 750,000/= mshindi wa kwanza wa mashindano ya 18 ya Afrika ya Kuhifadhi Qur-an Tukufu yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi