Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la zabibu la Chinangali II wilayani Chamwino, Dodoma, Agosti 13, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua shamba la zabibu la Chinangali II wilayani Chamwino Dodoma, Agosti 13, 2021. Kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela na kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la zabibu la Chinangali II wilayani Chamwino, Dodoma, Agosti 13, 2021. Kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe
Waziri Mkuu, Kassim...
Read More