[caption id="attachment_45295" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Mwabakima wilayani Igunga akiwa katika ziara ya siku moja wilayani humo ya kukagua mwenendo wa ununuzi wa zao la pamba, Julai 15, 2019. Kushoto ni Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri.[/caption]
*Waziri Mkuu asema hadi Julai 30 pamba yote itakuwa imenunuliwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia tarehe 30 mwezi Julai pamba yote iliyoko katika miko...
Read More